"Ni kweli nipo huku Marekani na familia yangu iko huko, kiukweli nimeimiss familia yangu hasa mtoto wangu mdogo wa kike, huyo Ivan ameshakuwa mkubwa, ni changamoto kwakweli kuwa mbali kwa sababu ni niliowazoea sana nilikuwa kila dakika niko nao, tunafanya vitu vingi sana, lakini ndio maisha na mapambano wanaelewa 'situation', tunazungumza kupitia video call" ROMA MKATOLIKI
Pia hajaweka wazi ni lini atarudi Bongo.