Sijamaliza Ashasinzia au Ndo Nina Kibamia

Wakuu swali, 

Nina msichana wangu nimekaa naye miaka miwili sasa, mwanzoni ilikuwa ngumu sana kufika kule kunako wakati wa ku do, nikajitahidi sana kuongeza maufundi sasa hali imebadilika sijamaliza ashamaliza na kusinzia kabisa usingizi wakati bado niko juu yake nashughulika.

yaani huwa inakuwa like nina do mtu ambaye hayuko duniani hadi baadaye kabisa baada ya nusu saa hivi ndo anashtuka, swali langu ni hiyo ni kawaida au ana shida manake ni mda hajaniona nikimaliza kwani alikwisha sinzia au ndo nina kibamia akimgusi kunako?
Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Labda kakuchoka..

    ReplyDelete
  2. Ndugu yangu kuna umuhim ukawaona wataalam wa masuala hayo, mapema na ikiwezekana hata uwaone wazee wa hekmaa kama huwafaham sema tukusaidie, kwa shughuli ile hata uwe na kibamia sidhan kama mtu anaweza kupata usingizi, kuna tatizo kubwa kati yenu!

    ReplyDelete
  3. Sawa mdau wangu hapo juu.

    ReplyDelete
  4. duh kaka kibamia hiko.

    ReplyDelete
  5. Iko ni kimamia tu....hakuna tatizo lingine hapo....maana akinastim yoyote bora upige singizi.....ww umalize shida zako mwenyewe

    ReplyDelete
  6. Kaa nae uongee nae km kunatatizo na mjue jinsi gani ya kufanya ilo tendo na km hana tatizo basi kakuchokoka haiwezekani awe hivyo kwa kale ka mchezo

    ReplyDelete
  7. Atakuwa ana jini mahaba

    ReplyDelete
  8. kuna njemba around linalo mpa mavitu ya ukwehe! kimbia fasta!

    ReplyDelete
  9. pole sana kaka ni kwamba hana hamu tena na wew so hupiga tu kimya akuache uchakarike umalize shida zako ulale

    ReplyDelete
  10. iko hivi kuna wanawake wengine wanafika haraka hivo basi yeye aki cum hupitiwa na kausingizi kama baadhi ya wanaume wengi tu baada ya kucum hupataga kausingizi ila akizinduka c anapick mwendo ama? mi mwenyewe niko ivo c kibamia wala nini

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad