Siri Imefichuka VIDEO Model Aliyevunja Penzi la Rayvanny na Fahyma ni Mke wa Mtu

Huyu ndo yule Nana mliekuwa mnasema ni wa rayvanyy SIRI IMEFICHUKA huyo ndo mume wake anaitwa Lee na walifunga ndoa tangu mwaka Jana, Na ukiangalia vizuri kwenye mkono wa Nana utaona tattoo ya uyo kaka .

Mwezi uliopita Model huyu alihusishwa kwa suala la Rayvanny na mpenzi wake fahyma kuachana baada ya wawili hao kuonekana kwenye Wimbo wa Rayvanny wakicheza kimahaba
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad