Tanzia: Aliyekatwa Ulimi Afariki Dunia



Ni simanzi na vilio vimetawala, kifo cha Salim Ahmed ambaye alikuwa akisumbuliwa na kansa ya ulimi na koo, leo Januari 31 amefariki dunia akiwa nyumbani baada ya hali yake kubadilika muda mchache kabla ya kufikwa na Umauti.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad