Ukitaka Kumfananisha Msanii Yoyote wa Bongo na Africa Hii na Diamond Platnumz Lazima Awe na Vigezo Vifuatavyo


UKITAKA KUMFANANISHA MSANII YOYOTE WA BONGO NA AFRICA HII NA DIAMOND PLATNUMZ LAZIMA AWE NA VIGEZO VIFUATAVYO 

✔️ 1. Awe na Followers 8.5M 
✔️ 2. Awe ana International Collabos zenye Impact  30m+ views on youtube sio chini ya 6 ( alizoshirikishwa na alizoshirikisha) ✔️ 3. Awe ana Record label ambayo imezaa wasanii wakubwa sio chini ya wasanii wa 
✔️4 tena wenye International standards 
✔️ 5.Awe amebeba Tuzo kubwa zote barani Africa 
✔️ 6. Familia yake yote iwe mastaa ✔️ 7. Awe na TV na Radio
✔️8. Awe anaongelewa kila Siku Iwe kwa mazuri au
 Mabaya 
✔️9. Pia awe na manager kama hawa @babutale
@mkubwafellatmk @sallam_sk 
✔️ 10. Awe amefanya show kwenye nchi ambazo watanzania nchi hizo tunazisoma kwenye ramani tu

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. viegezo vya vikombe! au kuwa na wanawake wengi! au kuwa na kila mtoto na mama yake? mbona hanyi keki...dhulma na uchawi ni wakusifiwa..mtakufa midomo wazi kwa unafiki, na kujipendekeza.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad