"Tangu Nimeachana na Mke wangu umepita karibia mwaka mmoja sasa,Naendelea kufanya vitu ambavyo nilikuwa nimepnga kufanya nipo sawa, Watu wengi huwa wanategemea watu waliokaa pamoja kwa muda mrefu wakiachana basi mmoja atapotea"
"Mtoto kwa sasa anakaa na Mama yake ila Namuona kila ninapotaka, Tattoo niliyowahi kuichora ya jina lake bado ipo" ...Ameyasema hayo Mabeste katika Interview na Wasafi Fm