Uwoya Adokeza Kuwa tayari anatoka kimahaba na Msanii Rayvanny


Uwoya Adokeza Kuwa tayari anatoka kimahaba na Msanii Rayvanny hii ni baada ya Shabiki kuona picha wakiwa pamoja na Kuandika haya:

"Usije ukatembea na huyo mtoto utajivunjia heshima japo huchaguagi"
Lakini Katika hali ya Kushangaza Irene Uwoya Alimjibu "Umechelewa Sana kuniambia sasa itakuwake" Ikiwa na Maaana tayari ameshatembea na Rayvanny


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad