VIDEO: Antonie Nugaz - sijafurahishwa na matokeo, tunashinda bila kubebwa



Afisa muhamasishaji wa klabu ya Yanga SC, Antoni Nugaz amesema hajafurahishwa na matokeo walioyapata kwenye mchezo wao dhidi ya Tanzania Prisons ulipigwa jana kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam huku akiwaomba mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kuwa wavumilivu kwa kipindi hiki ambapo timu hiyo inajengwa ili iweze kuwa na ushindani zaidi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad