VIDEO: Askari Shujaa “Aliejitoa Muhanga” Kuzama Kwenye Matanki Moto Ukiwaka “Amejitoa Maisha yake”


Moto uliokuwa ukiwaka kwenye hifadhi ya mafuta ya Lake Oil, Kigamboni DSM umedhibitiwa, Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Sarah Msafiri amesema kulikuwa na valvu ambayo ilikuwa inavuja mafuta na tayari imefungwa.

“Askari mmoja kwa uzalendo aliamua ajitoe maisha yake aweze kuokoa Watu wa Kigamboni na Watanzania lakini pia kuokoa uchumi, moto na moshi ulikuwa mkubwa lakini aliingia chini akafunga valvu, alizimia lakini anaendelea vizuri” – DC Msafiri

VIDEO:

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani aibu hii, yaani ajali kubwa kama hii hakuna ata stretcher ya kubebea majeruhi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad