VIDEO: Mwakyembe ''Tuna Mashaka na Zitto kwa Jambo Alilofanya, Akamatwe''


Diwani wa kata ya Mtoni jijini Dar es salaam, Benard Mwakyembe amemshukia Zitto Kabwe baada ya kuiandikia barua benki ya dunia kuiomba isitishe kuikopesha Tanzania dola milioni 500 za Kimarekani kwa ajili ya sekta ya elimu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad