Video: ‘Samatta ameonesha ‘Skills’ za hali ya juu dhidi ya Leicester City’- Abbas Pira akimchambua Mbwana na mechi nzima


Mchambuzi wa soka anayekuja kwa kasi nchini Abbas Pira akichambua mchezo wa Aston Villa iliyoibuka na ushindi wa mabao 2 -1 dhidi ya Leicester City. Aston Villa sasa inamsubiri mshindi kati ya Manchester City ama United ili kucheza anye hatua ya fainali ya michuano hiyo ya Carabao Cup.

VIDEO:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad