VIDEO: Yanga Watoa Tamko Sakata la Kabwili kupewa IST na Simba ''Zahera Alishasema''



Klabu ya Yanga SC kupitia kwa msemaji wake Hassan Bumbuli leo Januari 29 imetoa tamko kuhusiana na sakata la golikipa wao Ramadhan Kabwili kudaiwa kutaka kupewa gari aina ya Tayota 'IST' na klabu ya Simba SC mwaka jana.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad