Vitu vitano vinavyomaliza chaji kwenye simu



1. Uwashaji wa bluetooth.

2. WI-FI.

3. Mwanga wa simu- blightnes.

4. Vibration- mngurumo.

5. Wallpaper zinazobadilika.

Hivyo ili kuepuka kumaliza chaji katika simu yako, yaepuke mambo ambayo nimeyaainisha hapo juu.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad