Viwanja Vinauzwa Bunju Mpakani c/o Mapinga


Viwanja vya makazi, Biashara na Viwanda, vinauzwa mpakani mwa Bunju na Mapinga opposite na Kimele Hotel (Resort).

Vipo viwanja vya makazi kuanzia milion 2.5 (10/20), milion 5 (20/20), milion 7 (20/30), milion 10 (20/40), sqm 1600 kwa milion 23, sqm 2400 kwa milion 30.

Viwanja viko umbali wa km 2 tu kutoka main road (Dar to Bagamoyo Road). Huduma zote zipo: maji, umeme, barabara, shule, makanisa na miskiti.

Vipo pia viwanja vya viwanda (lighty industry plots) vya sqm 3600 na sqm 4600 na bei ya sqm ni tsh 20,000 ambavyo vipo umbali wa km 1 tu kutoka main road.

Ukipata ujumbe huu mjulishe ndugu/jamaa/rafiki, na biashara hii haina dalali/udalali.

 Mpigie mhusika: 0758603077 au whatsap 0757489709
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad