Wachezaji wa Bongo Walivyokausha Kumpongeza Samatta Kutua Aston Villa, ni Roho Mbaya?

Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta amekuwa mchezaji wa kwanza kutoka Tanzania kusajiliwa na club ya ligi kuu ya Uingereza. Amesaini mkataba wa kuichezea Aston Villa kwa miaka minne na nusu. Watanzania wengi wamefurahi wakiwemo wasanii, waigizaji, wanasiasa, lakini umegundua kuwa Wachezaji wenzake wengi hawajasema kitu? Nini sababu? Tunajadili kwenye

VIDEO:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad