Zitto Kabwe Amjibu Spika Ndugai




Mbunge Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo) Zitto Kabwe amemjibu  Spika wa Bunge, Job Ndugai aliyehoji sababu za yeye kuiandikia barua Benki ya Dunia (WB) akitaka Tanzania inyimwe mkopo wa elimu..

Ndugai ametoa kauli hiyo leo Ijumaa   bungeni ambapo amesema  Zitto kuandika barua hiyo ni tofauti  za kisera, lakini kuzuia fedha za Benki ya Dunia ni kwenda mbali zaidi na haimsaidii chochote zaidi ya kuwakomoa wananchi Wanyonge.

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter, Zitto ambaye yupo nchini Uingereza amesema, “hakuna tofauti ya kisera katika suala la watoto wa kike wanaopata ujauzito kuendelea na masomo. Ilani ya CCM iliahidi hilo, wananchi mwaka 2015, vyama vya Upinzani viliahidi hilo na wananchi 2/3 wanaunga mkono hilo.”





Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mimi nastajabu.. cha kustaajabisha ni huyu Kilaza, nani aliweza kumuandikiana kumpa adilesi ya huko twita huku akiwa hajalpa bili ya Umeme

    ReplyDelete
  2. Mimi nastaajabu..!!! cha kustaajabisha ni huyu Kilaza, nani aliweza kumuandikia na kumpa adilesi ya huko fezibuku na twita huku akiwa hajalipa bili ya Umeme na amesitishwa Sista glamu. ile kitenochake alishakipataau bado hajaripoti ostabei akitaka kuchukua ajira ya Dr. Abbasi kuwa msemaji wa SADC..MDANDIA MADA NA AJIRA

    ReplyDelete
  3. Umebugi steepu Dogo.
    Baarrick hawatoi mgao Uingereza kama ulivyo peeewa Jiwe Ujeluanina akasia.
    GAME IS OVER
    KIKI IS OVER
    VILAZA NWAPIGA DILI THEIR TIME IS OVER
    INCLUDING YOURS DOGO...!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad