Ajali ya Gari RUVUMA, Zoezi la Uokoaji Lafanywa Siku Tatu



Jeshi la polisi kwa kushirikiana na Jeshi la Zima Moto na Uokoaji mkoani Ruvuma wakinasua miili ya watu waliofariki katika ajali ya lori ya mafuta iliyotokea Kijiji cha Ulia, Kata ya Matemanga na kuua watu watatu.

Zoezi hilo lilianza tangu Januari 29 ilipotokea ajali hiyo na kuhitimishwa leo kwa kutoa mwili wa mwisho.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad