ASKOFU Maboya Atangaza..Tutaendelea Kutoa Huduma ya Watu Kukanyaga Mafuta ya Upako


Askofu Mkuu wa Kanisa la Calvary Assemblies of God, Dunstan Maboya amesema kanisa hilo litaendelea huduma zake za kitume ikiwamo kukanyaga mafuta ya upako huku wakizingatia tahadhari za kiusalama katika mikutano yote ambayo inaendelea nchini.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad