AUNTY EZEKIEL aeleza ukweli na sababu za kumsaliti IYOBO, Atoa TAMKO kuhusu michepuko yake


AUNTY EZEKIEL aeleza ukweli na sababu za kumsaliti IYOBO, Atoa TAMKO kuhusu michepuko yake

Aunty Amefunguka haya:

TAMKO TAMKO.........
Na hayo ndio yalikuwa Maisha yangu mm na Mume au bwana au Mzazi Mwenzangu hakuna kilichokuwa kinatustress hata tukikosa tuko Happy tukipata ndio Usiseme.....🙏 God
Baada ya Muda Sisi ni binaadamu Waswahili wanakwambia vinagongana Vikombe kabatini Sembuse Sisi yakatokea kama vile ambavyo mliyaona jaman tusirudie Sana 🙈 yeye alipita alikopita Mm nilipita nilikopita SIO Kama tulikuwa tunawapenda wale tuliokuwa nao HAPANA LA hasha ila Tu tulikuwa kwenye Harakati za KUUMIZANA Tu...
Huku kila Mmoja wetu akijua wazi Mwenzie alipo anaumia Kiasi gani kwani ilifika Time Mm nilidiriki kufanya hadharani nikihisi itamuumiza zaidi Mwenzang kwa kupost picha za yule kama kiumizio tuu......Mwenzngu pia na yeye huku chini alijitahidi kwa kadri aweza kuwa na watu ambao akifanya jambo litaniumiza so yeye pia alitumia nguvu nyingi sana kufanya hvyo bila Kupost kwenye mitandao ya kijamii akiamini hakuwa amepata Mtu sahihi licha ya hao aliowatumia kutumia nguvu nyingi Sana wajulikane kuwa wapo na Mose wengine wakidiriki hata kupost Wenyewe bila makubalino na bwana.....😅
Point ni hii niliyotaka kushare na Nyinyi ndugu Zetu ambao tumekuwa bega kwa bega na nyinyi wengine mkitamani tuwe Wote Wengine mkitamani Tuachane ila yote hayo mm Nw nachukulia kama changamoto ktk Maisha ya kuishi Pamoja Ndani ya miaka 6 kwenda 7 Matatizo purukushani kama hizo ni Vitu vya kawaida Sana Sana Mana ukisikia ya Wazee wetu unaweza hisi ww ktk Mahusiano yako bado ujapitia lililo gumu kuwazidi Hvyo basi Mm niseme tuu Ahsante kwa Wale wote Mlioshiriki ktk Mchezo huu wa Kuumizana kwangu mm na bwana Iyobo na Mungu awabariki 🙏 si yule ulietumika Instargam wala ww ambae ulitumika chini chini kama kipozeo na kiumizio Tunasema Ahsante kwani Mmetusaidi Sana sana Familia hii Kwapamoja tunasema AHSANTE ....😋
Mm na Familia yangu We are Happy Now Tunawapenda Sana na Tunaenjoy ......😘
#TAMKO ni Hilo
#Usipanick kwa kutumika ni Maisha tuu
#hata sisi hatukutaka iwe hvyo ila ilibidi tuwatumie Viumizio Wetu Poleni Jaman......🤣🤣🤣
Hd Next time My Name is Aunty Ezekieli 🤣🤣🤣 I love u 💞 @moseiyobo
Ushauri wa Dada na Wakaka kuweni makini Mnatumika😔




Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad