“Siwezi kumchagulia mwanangu mwanamke wa kumuoa kwa kuwa ana maamuzi yake, hivyo namshauri aoe mwanamke anayemtaka, asikubali kuchaguliwa na mtu awe baba au mama yake maana atakuja kujuta baadaye,’’ - Baba Diamond ameliambia Ijumaa
SOMA HABARI HIZI KIRAHISI KUPITIA APP YETU YA UDAKU SPECIAL