Bado Tanzania tu...Malawi Waruhusu Kilimo cha Bangi
0
February 28, 2020
Malawi imekuwa moja ya nchi ya Kusini mwa Afrika kuhalalisha kisheria kilimo na uuzaji wa ndani na nje wa bangi. Itatumiwa kutengeneza dawa, vitambaa, mafuta, karatasi nk
Mauzo ya bangi yanaweza kuchukua nafasi ya biashara ya tumbaku, ambayo inategemewa sana Malawi
Nchi nyingine za Afrika zilizolegeza Sheria ya kilimo cha mmea wa bangi ni pamoja na Afrika Kusini, Zambia, Lesotho na Zimbabwe
Inadaiwa bangi ilikuwa ni zao la biashara Dunia nzima, jamii nyingine zilitumia bangi kama mboga hadi miaka ya 1930 ilipoanza kupigwa vita na kuzuiwa Duniani
Tags