Beka Flavour amjibu mama mtoto wake ambaye analalamika mitandaoni baada ya kuachana “Nisiwe na wivu mimi punga?” (Video)



Baada ya mama mtoto wa msanii wa muziki, Beka Flavour kueleza namna alivyoachana na muimbaji huyo, Ijumaa hii Beka amedai sababu ya kuachana na mwanamke huyo alikuwa ni mwanamke huyo kutaka uhuru pamoja na wivu.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad