Boda Boda au Muuza Chipsi Akikwambia Achana na huyu DEMU Muwe Mnaelewa



Kuna hizi kazi huwa wafanyakazi wake wanakuwa karibu sana na wateja, kazi ya boda boda na kazi ya kuuza chipsi,

Wafanyakazi wa hizi kazi huwa wana siri nyingi sana za wateja,
Kama boda boda wana siri nyingi za watu pale wanapowapeleka wateja wao na wanachokifanya huko waendako,

Wauza chipsi pia wanajua sana nani kaja na nani?
Nani kamnunulia flani, nani anaishi na nani na nani kazi yake ni ipi inayomuweka mjini,

Hawa watu wakikwambia Achana na Huyu Demu,
Baharia wenzangu muwe mnaelewa, na hawanaga maneno mengi kauli yao huwa ni moja tu "Achana na huyu demu"

Kama hujui unaweza kudhani wanakuonea wivu ila Kauli yao huwa ni tata na Makinifu.


Nb.
Hawa viumbe wana Siri kubwa sana za Ndoa za Watu.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad