Bongo Zozo atangazwa kuwa balozi wa Lipuli FC



Uongozi wa Timu ya Lipuli FC ya Iringa imemtangaza shabiki na mhamasishaji wa Taifa Stars Nick Reynolds maarufu kama Bongo Zozo kuwa Balozi wake kwa lengo la kuitangaza timu ya Lipuli FC pamoja na kusaidia wachezaji wake kucheza Kimataifa.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad