Bunge la Seneti MAREKANI Lasifu Paul Makonda Kuzuiwa Kuingia Nchini Humo..Soma Hapa


Limesema kuzuiwa kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda kuingia nchini humo ni hatua nzuri ya mwanzo katika kuwawajibisha wale wote walio Tanzania wanaohusika na kuizorotesha Demokrasia
-
RC Makonda amewekewa vikwazo hivyo akidaiwa Kujihusisha na uvunjifu mkubwa wa Haki za Binadamu akiwa kama Mkuu wa Mkoa
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad