Diamond abeba watangazaji wengine kutoka kituo hiki kikubwa na kuwaleta Wasafi, Juma Lokole ndani “Tutawakera zaidi”



Baada ya kusambaa neno la #NITAKUKERAZAIDI mitandaoni lililoanzishwa na msanii @diamondplatnumz C.E.O wa Wasafi media na watu kutegemea labda Diamond anaachia wimbo kumbe sivyo.


#Nitakukerazaidi ni neno lilolomaanisha kitu kingine na tukio lililotokea ni Watangazaji wapya waliotambulishwa Wasafi katika kipindi cha #MaShamsham
Watangazaji hao wawili wanatoka TIMESFM ambao ni @didahshaibutz pamoja na @idriskitaa lakini mtangazaji wa tatu ni @jumalokole2 ambaye pia alikuwa mtangazaji katika kituo cha ClassicFm. Baada ya kutambukishwa na kuzindua rasmi kipindi hicho 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad