Ukaribu wa Diamond na Wasanii wa Marekani Waliochuja una TIJA Yoyote Kweli Kwa Taifa?


Alianza kutoa ngoma na Neyo haikufika popote, akaja kwa Rick Rose nako chali, sasa hivi kahamia kwa Swizbeat na Alicia Keys wote zilipendwa, dogo atafute ukaribu na watu wa maana ambao wanatesa kwa sasa na kwenye chat za billboards wanashikilia numbers za mbele


HIZI HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG <DOWNLOAD HAPA>

Mfano kama kina Davido juzi kati alifanya Collabo la Maana na Chris Brown ambalo limetesa Dunia nzima, Pia Wizkid Alishafanya Colabo la maana na mzee mzima Drake Ambalo lilishika mpaka nafasi za juu katika chat za billboards

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Enter your comment...naona unaandika upuuzi hapo nyimbo zote zimefanya vzr katika you tube

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad