Mwimbaji Aliyejibadili Kuwa Mwanamke Afunguka Sababu za Kufanya Hivyo..Acharuka Issue ya Kuzaa na Mbosso



Msanii wa Singeli kutoka Tanzania @dullamakabila ameeleza sababu ya kupaka makeup na kuonekana kama mwanamke pamoja na kuvaa wigi na kupaka rangi kwenye vidole.

SOMA HABARI HIZI KIRAHISI KUPITIA APP YETU YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD HAPA

Mbali na hilo Makabila pia amefafanua kuhusu ugomvi wake na msanii kutoka WCB @iamlavalava uliotokana na mwanamke “Kuhusu @mbosso_ nilishasema nikikutana nae ntampiga kwa sababu yule ni mdogo wangu na amenidhalilisha sana kusema ningekuwa mwanamke angeshanizalisha “

Tazama Video:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad