Wakili wa kujitegemea Fatma Karume amesema nchi nyingine zikipata maafa wanapiga picha na kueleza.
Amesema picha zao zinasambazwa kupitia magazeti hawajasikia msambazaji kuitwa msaliti.
Fatma alihoji au maana ya uzalendo kwa mabeberu ni tofauti na kwa watanzania.
Aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa Twitter
“Picha za mafuriko England zinasambazwa na magazeti. Sijasikia msambazishaji kuitwa msaliti au maana ya uzalendo kwa mabeberu ni tofauti na kwa Watanzania,” aliandika.
Wenzetu wakipata maafa wanapiga picha na kueleza. Picha za mafuriko England ni zinasambazwa na magazeti. Sijasikia msambazishaji kuitwa MSALITI au maana ya UZALENDO kwa mabeberu ni tofauti na kwa waTZ? https://t.co/FZv5QgXuNt— fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) February 23, 2020
Wala Si Wakili mwenye Weledi. Magumashi Kilaza tu. Ameahapigwa Marufuku kuendesha biashara hii.
ReplyDelete