Fatma Karume "Uzalendo wa Mabeberu ni Tofauti na wa Tanzanzia?"



Wakili wa kujitegemea Fatma Karume amesema nchi nyingine zikipata maafa wanapiga picha na kueleza.

Amesema picha zao zinasambazwa kupitia magazeti hawajasikia msambazaji kuitwa msaliti.

Fatma alihoji au maana ya uzalendo kwa mabeberu ni tofauti na kwa watanzania.

Aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa Twitter
“Picha za mafuriko England zinasambazwa na magazeti. Sijasikia msambazishaji kuitwa msaliti au maana ya uzalendo kwa mabeberu ni tofauti na kwa Watanzania,” aliandika.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wala Si Wakili mwenye Weledi. Magumashi Kilaza tu. Ameahapigwa Marufuku kuendesha biashara hii.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad