RC Arusha Ataka Waliosambaza VIDEO ikionyesha Barabara Mbovu Mbugani Kukamatwa Mara Moja


Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ameagiza polisi kuwasaka na kuwachukulia hatua watu waliotumia Mitandao ya amii kuonesha ubovu wa miundombinu ya barabara ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro.

RC Gambo amesema kitendo hicho ni sawa na uhujumu uchumi kwani watu hao wangeweza kutumia njia sahihi kuwasilisha taarifa hizo na si kutumia mitandao ya kijamii.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad