Gigy Money "Nimechoka Kuwatumikia Wanaume Wasio na Hela, "Ukinitaka Kimapenzi Jipange"


Gigy Money Anasema Usiku kucha anakesha kwenye club ili apate hela kwahiyo hahitaji mwanaume Maskini asiye na hela, ameshawatumikia sana wanaume wasio na mkwanja na kuishia kuzeeshwa tu bila faida ila sasa amechoka

SOMA HABARI HIZI KIRAHISI KUPITIA APP YETU YA UDAKU SPECIAL 

Basi mtu wangu kama ulikuwa una ndoto za kutoka na Gigy Money Habari ndio hiyo ujipange hasa mambo ya mkwanja siku hizi bata lake Dubai.....
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad