Urus Yakanusha Madai ya Kuingilia Kati Kampeni za Uchaguzi Wa Marekani wa Mwaka Huu



Urusi imesema leo kuwa madai ya kitengo cha ujasusi cha Marekani kwamba nchi hiyo inaingilia kampeni za uchaguzi za mwaka 2020 na kujaribu kuongeza nafasi ya kuchaguliwa kwa mara nyengine kwa Rais Donald Trump ni uongo mtupu.

SOMA HABARI HIZI KUPITIA APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD > HAPA

Mtu aliye na taarifa za karibu kuhusiana na suala hilo amesema maafisa wa ujasusi wa Matrekani waliwaambia wabunge juma lililopita kwamba Urusi inaingilia kati kampeni ikiwa inalenga kutia mashaka kuaminika kwa uchaguzi huo ili kuiweka nafasi ya Trump kuchaguliwa tena kuwa juu.

Na sasa msemaji wa Kremlin Dmitry Peskov amesema yote ni uongo na wana wasiwasi kwamba uvumi huo utaenea kadri uchaguzi unapokaribia.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad