Haji Manara Achafukwa "Msinipangie Cha Kupost SUMU Bado Zinakuja Dadadekii"


Ameandika Haji Manara
Guys wapo watu wanalalamika eti Kwa nn page yangu inawazodoa na kupost habari za Gongowazi?
Hv Mm kama Msemaji nikae kimya na hzo propaganda zenu za kutusingizia vtu vya kipumbav kila siku?
Yaan nyie muwe na haki ya kupost propaganda zenu mkijibiwa mnabweka!!
Kwanza mm humu sijawahi kumuita mtu ,,ni wenyewe na kiherehere chenu, kama unaona nakukwaza nn kimekuleta huku?waacheni watu wangu wafurahie maisha,,sikumbuki kuomba followers mahali,,

Na vipo vichambuzi uchwara eti vinasema nichukuliwe hatua,,yupi wa kuchukuliwa hatua kati yangu na yule anaezusha tunatoa Rushwa bila kuwa na ushahidi halaf anajificha ktk kivuli cha uislaam!!
Yaan uislaam unafundisha uongo na unafik?

Pls asinipangie kiazi yoyote cha kupost, unless kama navunja sheria za nchi lakini nyie Kwasukwasu mnaojileta wenyew humu sumu bado zinakuja!!
Naitwa De la Boss kiboko yao,

NA BADO!! Dadadeki " Haji Manara
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad