Hii ni Orodha ya Watu Maarufu zaidii Duniani na watu Wanaotafutwa Sana (Searched) Mtandaoni
0
February 14, 2020
10. Isac Newton
Alizaliwa mwaka 1642 na kufariki dunia mwaka 1727.
Kama ulisoma sayansi walau kidato cha pili tu basi utakua unamfahamu.
Ameandikwa kwebye vitabu karibia 500,000 na inakadiriwa umaarufu wake hautaweza kupitwa na mtu labda baada ya miaka zaidi ya 250.
Ni nguli wa Mechanical Physics na umaarifu wake mkubwa upo kwenye Newton's Law of
Pia ni mtaalamu wa Principles of Natural Philosophy
Kwa mwezi anafuatiliwa (searched) na watu zaidi ya X 2,000,000
9. Leonardo Da Vinci
Alizaliwa mwaka 1452 ni mtaalamu wa michoro ya Code Pictures. Ni mwiba mchungu kwa kanisa katoriki kutokana na michoro yake pamoja na maandiko yake kuhusu kanisa.
Japo hapendwi ila yeye ndo aliyechora sura ya bwana Yesu iliyopo makanisani kwani baada ya kuichora ndio wakatafutwa watu wanaofanana nayo na kuigiza filamu ya Yesu.
PIa ana mchoro wa The Last Super ambao una code zinazoonesha Yesu alikuwa na Mahusiano na Maria Magdarena.
Mchoro wa Monalisa pia ambao ni mwanamke mwenye sura mbili.
Ila ja anadaiwa alikuwa shoga.
Kaandikwa kwenye vitabu zaidi ya 6,000,000
Kwa mwezi anatafutwa zaidi ya X 4,000,000
8. William Shakespear
Ni Mwingereza aliyezaliwa mwaka 1564 na kufariki dunia mwaka 1616
Huyu ana mchango mkubwa kwenye lugha ya Kiingereza, kachangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa msamiati na kuenea kwa lugha ya Kiingreza
Ndio mwasisi wa misemo kama vile:
Food for the gods
It's all Greek to me
All that glitters is not gold
By love
All is well
N.k
Katajwa kwenye vitabu zaidi ya 1,000,000
Anafuatiliwa mara 7,500,000 kwa mwezi
7. Adolph Hitler
Alizaliwa mwaka 1889 na kufariki/kujiua mwaka 1945 baada ya kushindwa WW2
Pia ni mwanzilishi wa magari ya Volkswagen alitaka kila Mjerumani aendeshe gari badala ya baiskeli
Anskumbukwa kwa kunyanyasa na kuua mamilioni ya Wayahudi.
Alikuwa rafiki mkubwa wa Benito Mussolini na wote walikufa 1945 baada ya kushindwa vita
Msome zaidi kwenye kitabu chake cha mein Kempf [My Struggle]
Ameandikwa kwenye vitabu zaidi ya 200,000
Kwa mwezi anatafutwa X 6,500,000
6. Paul The Apostle of Tarsus
Alizaliwa mwaka 5C na kufa 67 AD, anajulikana kama Mtume Paulo na ndiye mtume aliyeipigania dini kwa kuweka miongozo na kanuni tunazozifuata hadi hii leo.
Ameandika vitabu 13 vilivyopo kwenye Bible na vingi sanaaa ambavyo havijawekwa kwenye bible.
Anajulikana kwa wakristo kama mtu wa kwanza kujua kuandika
Kaandikwa kwenye vitbu takribani 7,000,000
Kwa mwezi anatafuta takribani X 4,000,000
5. Siddhartha Gautama
Aliishi kuanzia mwaka 563C hadi mwaka 483 AD
Huyu ni maarufu zaidi kwa jina la Buddha yaani kwa Wabudha kwao ni kama Yesu Kristo
Alizaliwa kwenye ile nchi isiyo na bendera ya mstatili Nepal
alikuwa ni mpiga mazoezi na mweneza imani mkubwa ya kuwafumbua watu huyu ndo mfalme wa mediation.
Fkawahi kupiga mediation ya siku 49 , inafahamika kama Noble Eightfold Path duniani kwa ujumla
Supreme buddha anfuatiliwa/abudiwa zaidi na Wahindu
Ameandikwa kwenye vitabu zaidi ya 7,000,000
Anatafutwa X 4,000,000 na ushee kwa mwezi
4. Moses
Huyu ndo Musa
Aliishi kati ya mwaka 1300C hadi mwaka 1080 BC
Huyu anaheshimiwa na Uislamu pamoja na Ukristo hivyo hafungamani na dini yoyote ndio maana jina la MUSA ni la Waislamu kwa Wakristo
Anakumbukwa zaidi kwa miujiza na safari yake ya kuwarudisha wana wa Israel. Yawezekana ni moja kati ya watu wanaochukiwa nchini misri akifuatiwa na Sergio Ramos.
Kaandikwa kwenye vitabu 8,000,000
Anatafutwa X 3,000,000 na ushee kwa nwezi
3. Ibrahim
Aliishi kati ya mwaka 1812C hadi 1537 BC
Abraham anajulikana zaidi kama Nabii Ibrahimu na Wakristo kwa Waislamu wanamfahamu
Anaaminika ndiye mtu wa kwanza wa Masharuki ya kati kuamini katika uwepo wa Mungu mmoja
Ameandikwa kwenye vitabu takribani 2,000,000
Anatafutwa zaidi ya X 10,000,000 kwa mwezi
2. Abu Al--Qasim Mu Ammad Ibn Abd Allah
Aliishi kati ya mwaka 570 hadi 67
Kwawasio waislamu Mtume Muhammad ndio mwanzilishi wa Uislamu ila kwa wenye dini yao wanaamini/wanasema hakuanzisha chochote.
Anatafutwa kwa mwezi X 14,000,000 ila hata
1. Jesus of Nazareth
Aliishi kati ya mwaka 5BC hadi 28 AD
Alizaliwa na Bikira Maria kwa uwezo wa Roho Mtakatifu.
Pamoja na kuishi bila shari na mtu akasalitiwa na bwana Yuda Eskariote na wenzake wachache kisha Pilato akatoa hukumu ya akasulubiwa akafa kisha akapaa mbinguni
Huyu ndie Genius, Phillosopher wa muda wote na hatokuja kama yeye tena mpaka mwisho wa dunia
Ameandikwa kwenye vitabu visivyo na idadi
Anatafutwa X 25,000,000+ kwa mwezi
Share mara nyingi kupata habari.
Tags