Huwezi Amini..Nilimezwa na Chatu Mwaka 2008
3
February 09, 2020
Sitaisahau elnino ya mwaka tajwa hapo juu, mvua zilikuwa kubwa sana kule maeneo ya Mbeya bila kujua nikaingia kwenye mtego wa chatu, alinidondosha.
Pona yangu sikuamka, na ukilala chali chatu hakuwezi alinitambaa sana mwilini ili anivingirishe ila nilijikaza na ile ngozi yake laini ilivyokuwa inanitambaa mwilini.
Vita ya Manara na Jerry Muro Yarejea Tena
Nilijikaza lakini alibahatisha kunimeza mguu wote; alishindwa kunimalizia kwasababu nilikuwa nimetanua mguu wa kulia hivyo sikupita mdomoni mwake. Niliokolewa baada ya masaa matatu ila mguu uliungua sana.
Kinana, Makamba Sasa Shubiri CCM...Tetesi za Kujivua Uanachama
Huwezi amini tulikuwa tunaangaliana jicho kwa jicho huku nimelala, ujasiri huu niliupata baada ya kulewa sana pombe ya Kiroba ilikuwa maarufu sana kule Mbeya inaitwa Double Punch.
Chatu msikie tu. Yupo kama jini au shetani, yale macho yake mkitazamana kwa karibu
Superbug
Tags
Aiseeunabahati kweli.
ReplyDeleteTupatie Jina lako kamili na namba yako ulijiandiksha kwa mfumo wa Kidole tukupe Dili ya advertizment.
Kunywa Kiroba Unusurike na Chatu.
Kunywa Kiroba upate Ujasiri kumshinda Chatu.
Chatu hafui dafu kwa mnywa Kiroba.
Bila Kiroba, maisha yako yako Hatarini
Swali silijui Kiroba Jibu Lao.
Faanya haaka tuwasiliane.

Fanya tuwasiliane kwa Haraka.

Tuwasiliane kwa Haraka fanya.