Huyu Hapa Mchugaji Anaye uza Mafuta ya Kujikinga na Virus vya Corona


Kiongozi wa Kanisa la International God’s Way la Ghana, Daniel Obinim ametangazia wafuasi wake kuwa anauza mafuta yanayoweza kuwakinga na Coronavirus. Obinim ambaye mtindo wake wa maisha ya anasa ni gumzo Ghana, anauza chupa moja ya mafuta hayo kwa Cedi 200 za Ghana (TZS 85,000).
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad