Huyu Hapa Mzee Aliyevunja Rekodi ya Binadamu Kuzaa Watoto Wakiwa na Umri Mkubwa

Amefariki dunia Pichani Ramjeet Ragav(104) ambaye mwaka 2010 aliteka vichwa vya habari duniani baada ya kupata mtoto wake wa kwanza akiwa na miaka 94 kisha miaka miwili baadaye yaani 2012 akiwa na miaka 96 kupata tena mtoto wa kiume. -

Ramjeet ambaye alikuwa mkulima huko New Delhi, India amefariki dunia jumanne wiki iliyopita baada ya kutokea moto nyumbani Kwake. Moto ulimuunguza vibaya upande a kushoto mwilini mwake. Enzi zake alikuwa mcheza mieleka/miereka

Mwaka 2010 wakati akipata mtoto wake wa kwanza akiwa na miaka 94, mkewe huyo kwa jina la Shantakula muda huo wakati anazaa alikuwa na miaka 60 kisha miaka miwili baadaye mkewe huyo akamzalia tena mtoto wao wa pili hivyo mwanaume huyo kutajwa kuweka rekodi ya kuwa baba kwa mara ya kwanza akiwa na umri mkubwa mno -

Kwa wakati huo walipohojiwa, wawili hao walisema kwa usiku mmoja walikuwa wakibanjuka round 3 za tendo la ndoa

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad