Ishu ya Steve Nyerere, Kigwangala Amjibu Msigwa, Diamond Atajwa – Video


WAZIRI wa maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla, amefafanua Bungeni sababu za kuwatumia watu maarufu kwenye kutangaza utalii akiwemo mwanamuziki, Diamond Platnumz.

Kigwangalla ametoa ufafanuzi huo kufuatia hoja iliyotolewa na Mbunge mwenziye, Peter Msigwa (CHADEMA) ya kumtaka atumie watu wanaofahamika zaidi duniani kukuza sekta ya utalii na si kutumia wasanii wa ndani akiwemo Steve Nyerere ambao hawafahamiki sana.

VIDEO:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad