JE, Ni Kweli Pesa Ina Mvuto Katika Mapenzi?


Baadhi ya watu hudai kwenye mahusiano ya mapenzi pesa haina chochote cha kuthibitisha na anayetanguliza pesa katika mapenzi hana upendo wala mapenzi ya kweli

Lakini wengine hudai kwamba bila pesa mapenzi hayaendi kwani wanawake huwa na mahitaji ambayo huamini/hutegemea kutimiziwa na wenza wao kutokana na utamaduni uliozoeleka wa mwanaume kuwa ndiyo muhudumiaji wa familia

Mtazamo wako ni upi?
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad