Juma Lokole Awatapikia Wanao Mchafua SHAMSA Ford na Video ya Ngono..."Kama Kuna Mtu Anayo Anitumie Nampa Pesa"

ANAANDIKA JUMA LOKOLE :
Wabongo limewashuka shuuuuu ........!!! Mpaka sasa akuna cha Connecticut wala connection .......!! Mmekazana kuyazuwa Kama mjane kaona hati ya nyumba kwa shemeji yake

!! Ninavyo wajuwa wabongo toka Jana kungewaka umu ndani Kama tupo sudan na watu wangechelewa kuingia kazini .......

Acheni kumchafuwa mtu kwa upumbavu wenu......

Jana @shamsaford kauza vijora Kama yupo Mombasa ......!! Mimi najitolea Kama kuna mtu anayo atume nampa pesa .....!! Mxiiiiuuuu wapumbavu nyie ...... mtakuja kuwakosesha watu madili yao kisa kutaka like na comment za insta
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu Msenge anajiona nani? anafokonyolewa na wcb than wanampa kipindi...

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad