Jamhuri imemuondolea Kabendera shtaka moja alilodaiwa Kuongoza Genge la Uhalifu hivyo atakuwa na Mashtaka mawili ya Kukwepa Kodi na Kutakatisha Fedha
Aidha, DPP amewasilisha hati ya kuiruhusu Mahakama ya Kisutu kusikiliza kesi ya Uhujumu Uchumi (katika Mashtaka hayo mawili) inayomkabili Kabendera