Kaimu Mkuu wa Wilaya Akanusha Mchina Kuwekwa Chini ya Uangalizi Kisa Corona



Kaimu mkuu wa wilaya ya Arumeru Mh Frank Mwaisumbe amewataka wananchi kupuuza taarifa inayosambaa mitandaoni ya kwamba kuna mchina ambaye yuko chini ya uangalizi wa madaktari kwenye hospitali ya Tengeru baada ya kugundulika kuwa ana ugonjwa wa Korona.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad