Kauli ya Marehemu Kanumba Yamuumiza WEMA Sepetu "Hutopata Mtoto"


Kupitia interview yake aliyoiweka kwenye App yake ya *WemaApp @wemasepetu ametuambia kuwa Marehemu ➡Kanumba alishawahi kumtamkia maneno ya kutopata mtoto na mwanaume mwengine yeyote hii ni baada ya kutoa mimba zake mbili

Wema Sepetu amesema “Wewe Mwanamke nakudai, nakudai watoto wangu wewe, hutoweza kuja kupata mtoto na Mwanaume mwingine yeyote yule,”
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. aise mrembo itabidi uende kwa manabii wakuu watengue ilo agano maaana uliweka agano bila kujua au kwakujua

    ReplyDelete
  2. Kumbe ni sawa tu kutopata mtoto kwako. Mambo ya abosheni siyo mpango. Urembo siyo kila kitu, maisha lazima yaendelee tu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad