KILA Mwanaume Anaye Lala na Mimi Harudii Tena na wala Simu zangu Hapokei
2
September 01, 2023
Mimi ni mwanamke.Naomba msaada wa mawazo maana sijui nina nini mimi...
Umri unanitupa mkono maana nakaribia miaka 35 lakini sijampata aliyewahi kunitangazia ndoa.Cha ajabu kila anayelala na mimi siku ya pili harudii tena na hata nikimpigia simu hapokei
Hapo ndo linapoanzia tatizo na kunifanya nijisikie vibaya...Saivi hata mtaani nachagua kwa kupita...
Kuna mwanaume mmoja huyo ndo aliwahi kunichana live kuwa nina maji mengi na MAMBO yangu ni kubwa kiasi kwamba ha piz hadi amfikirie mpenzi wake wa zamani...
Jamani naomba msaada nifanyaje mie. Je kuna dawa ya kupunguza haya maji na kuifanya hii MAMBO iwe ndogo?
Hide My Name.
Tags
Jaribu kufika hospital
ReplyDeleteKama wanaweza kumpasua mama mjamzito Na kumshona wanashindwaj kupunguza dimension za hiyo mambo?
Ukishindwa mwombe mungu
Pole sana siyo utani naishi huku ughaibuni toka miaka mingi nimeishi katika mahusiano kwa muda tofauti na hawa mademu weupe mwishoni tunashindana mila na utamaduni inakuwa kasheshe sasa nimeamua kwa dhati nimpate demu ea kutoka huko kwetu TZ labda wewe unawezakuwa ndiye patner wangu mtarajiwa uje tuishi wote huku ughaibuni tuyaendeleze maisha yetu sasa cha kufanya naomba uache fone number yako katika hii blog ili tuwasiline ipasavyo na kufahamiana zaidi kiundani who knows inaweza kuwa hayawi hayawi mara yamekuwa kweli tafadhali sitanii namaanisha kweli
ReplyDelete