Kila Unayefanya Nae Mapenzi Kuna Sehemu Yake inabaki Mwilini Kwako na ndo Chanzo Cha Maroho na Mapepo


Spiritual bond soul tie.Watch who you lay down with.Kila unayekutana naye kimwili kuna sehemu yake inabaki mwilini kwakoo.Ndiyo maana unaweza ukakuta wengine are miserable,wakatili,waongo,walevi,wanafiki na wengine ni mashetani kabisa.
Jambo tusililolijua ni kuwa njia rahisi ya kusambaza mapepo kwa mtu ni kukutana kimwili.

Imagine wewe una maroho ya kwenu,maroho ya vizazi vyenu,mizimu ya kwenu n.k.unakutana na mwananume au mwanamke ana maroho ya kwao hivyo unamwambukiza maroho naye anakuambukiza maroho yake imagine kama wewe ni mwanaume na una wapenzi watano na wote mnakutana kimwili hii inamaana ndani ya nafasi yako kuna wanawake watano angalia maroho ya hawa wanawake waliyonayo kila mmoja atakuwa na maroho ya kwao hivyo ni rahisi wewe kuwa na maroho mengi zaidi.

Ni wanaume/wanawake wangapi unao ndani yako.kila mmoja anayekutana naye kimwili ni kwa kujifurahisha tu,lakin hatuelew kukutana kimwil out of marriage is the greatest covenant that you can ever think of..
Kukutana na mtu kimwili nje ya ndoa linaambukiza mapepo kuliko unavyoweza kufikiri.siyo jambo la kucheza nalo.
Kukutana kimwili ni soul bound huwa nafsi za wahusika zinafungwa pamoja ndiyo maana ni rahis kukuta mtu alikuwa tajir lakin anaanza kuporomoka kiuchumi unajua ni hali ya kupanda na kushuka kumbe ni maroho au mtu alikuwa vzur kiroho lakini anapokutana na mtu kimwili ghafla anashuka anaanza kumkana MUNGU kukutana kimwil nje ya ndoa ni lango linalotumiwa na adui kuharibu destiny ya mtu au kuharibu ndoto ya mtu.kukutana kimwil ni link rahisi ya kiroho ya kuchukua nyota ya mtu au kuchukua kibali cha mtu..

Mindful of what/who your letting enter you,every person you lay with desposists and leave a part of his/her soul in you.
Kukutana kimwil n spiritual bond kwa sababu ya connection (muungano) unaotokea wakati wa tendo lenyewe.do you ever wonder what ur soul likes to God.
Kukutana kimwil does more to the body than the eyes can see.
Be careful who and what u allow your soul tie to.
Ukilala na mpenzi wako ujue jasho lake litakaa mwilini mwako siku 14...
20200225_224527.jpg
Aina za maroho zilizopo ndani ya mwili wako na sura tofauti tofauti zingine zimeungua,zimelewa,za mauaji,za uongo,nk nk..
Punguza maroho uishi kwa Mibaraka.

Usiku mwema.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad