Lema: Tuna Hofu na Watanzania Waliopo China, Bashiru yupo Bize Kumfungulia Mlango Makamba



Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, amesema familia, ndugu na marafiki wana hofu kubwa juu ya watoto ndugu zao waliopo nchini China.

Lema amesema kulinda maisha ya watu na uhai ni kipaumbele namba moja katika nchi.

SOMA HABARI HIZI KIRAHISI KUPITIA APP YETU YA UDAKU SPECIAL 

Kiomgozi huyo aliandika ujumbe wake leo katika ukurasa wake wa Twitter kuwa hapa Tanzania Kaibu Mkuu wa Chama tawala, Dk. Bashiru Ally yupo bize kumfungulia baba January mlango wa gari na kutafuta madiwani na wabunge wa upinzani.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad