Lunch Time inavyotumiwa na Wafanyakazi Wanandoa Kuchepuka

Usije ukajidanganya kumuona mumeo au mkeo eti anarudi nyumbani mapema na weekend hatoki ukadhani uko salama.

Sasa hivi ile lunch time kuanzia saa saba mpaka nane huko maofisini ibilisi anakuwa ameshika usukani, ikizingatiwa sasa kuna mahotel mazuri pande kariakoo, manzese, magomeni zile zinakuwa zimejaa ikifika muda huo, wake za watu na waume za watu wanakuwa wanacheza mechi za kirafiki watch out.

Hili halina ubishi
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hivi mdudu ndiyo umekwisha kabisa? watu mbano hawaugopi? au ndiyo kama malaria sasa hivi? ni shidaaaaaa!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad