Majambazi Walisha Walinzi Mishkaki Yenye Sumu Kali na Kuiba....


Walinzi 7 wilayani Handeni mkoani Tanga wamenusurika kifo baada ya kulishwa mishikaki yenye sumu na majambazi, ambao baadaye walivunja maduka ya lindo lao na kuiba.

Imeelezwa kuwa majambazi hao walijenga uhusiano wa wiki kadhaa na walinzi hao huku wakijifanya wauza mishikaki na kuaminika na walinzi hao.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad