Majanga..Ripoti ya Waliofariki kwa Virus vya Corona China Yaendelea Kutisha Dunia




Ripoti mpya kutoka China zinasema idadi ya waliofariki kutokana na virusi vya corona nchini China imeongezeka na kufikia Watu 564 huku uwezekano wa idadi ya vifo kuongezeka ukiwa mkubwa.

Watu walioathirika na virusi hivyo mpaka sasa wameongezeka na kufikia Watu 28, 060 hii ni kwa China pekee, na bado Watu 24,702 wanahisiwa kuwa na virusi hivyo, Watu 1153 wameruhusiwa Kutoka Hospitali baada ya kupatiwa matibabu.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad